Warusimbi

Warusimbi Warusimbi is a fast-growing transportation company in Tanzania established in 2020.

With a passion for exploration and a commitment for excellence, Warusimbi provides seamless and personalized travel solutions rooted in professionalism, safety and trust.

07/05/2026

Kwa safari za kila siku na za moja kwa moja;

DAR-ES-SALAAM-MWANZA
📍Dar->Dodoma
📍Dar->Singida
📍Dar->Igunga
📍Dar->Nzega
📍Dar->Shinyanga
📍Dar->Mwanza

DAR-ES-SALAAM-SONGEA
📍Dar->Iringa
📍Dar->Mafinga
📍Dar->Makambako
📍Dar->Njombe
📍Dar->Songea

Customer Hotline: 0683423435

05/05/2026

▫️Leo nimekuwa na ugeni wa bwana Ibrahim Mwenda.
▫️Nikaona angalau tupate ma-2/3 ya miaka kadhaa nyuma.
▫️Sema watu wa afya mnajikutaga sio watu wa maneno...😀.

Customer Hotline: 0683423435

 :By Agent Abdul Warusimbi.Customer Hotline: 0683423435
05/05/2026

:By Agent Abdul Warusimbi.

Customer Hotline: 0683423435

24/03/2026

Hii ni ofisi ya SAMA LUXURY COACH tawi la URAFIKI.

Napatikana hapa kuanzia saa 2 asubuhi - 7 mchana na Mbezi napatikana kuanzia saa 8 mchana - 3 usiku.

Njoo ukate tiketi kwa safari za kila siku na za moja kwa moja kati ya DAR MZA na DAR SONGEA.

Pia nahudumia mikoa mingine yote. Mimi sina mipaka, wala huduma zangu hazina mipaka!

Mawasiliano:
0683423435

Warusimbi - The Top Choice For Online And In-Office Bus Ticket Booking In Tanzania.Ticket Booking:-> 0715652218-> www.wa...
24/02/2026

Warusimbi - The Top Choice For Online And In-Office Bus Ticket Booking In Tanzania.

Ticket Booking:
-> 0715652218
-> www.warusimbi.com

31/01/2026

Timu yetu ya Mbezi ina jukumu la kuhakikisha kuwa hakuna abiria anayeachwa na gari, haijalishi anapandia hapa Mbezi au kituo cha njiani.

Utekelezaji wa jukumu hilo hufanikishwa kwa maelekezo ya kina kwa makondakta wetu makini.

Njoo Mbezi,
Njoo SAMA LUXURY COACH.

Mawasiliano:
0683423435

Baada ya ukimya wa muda mrefu, sasa amerudi! Amerudi rasmi akiwa na nguvu mpya, hali mpya na kasi mpya.Huyu ndiye AGENT ...
22/01/2026

Baada ya ukimya wa muda mrefu, sasa amerudi! Amerudi rasmi akiwa na nguvu mpya, hali mpya na kasi mpya.

Huyu ndiye AGENT ABDUL WARUSIMBI.

Ni afisa usafirishaji anayefanya kazi kwenye mikoa yote ya Tanzania, aidha moja kwa moja au kupitia kwa washirika wake wa kibiashara.

Ana jukumu kubwa sana! Nalo ni kuhakikisha huduma ya usafiri wa Mabasi inakuwa rahisi zaidi na yenye ufanisi wa hali ya juu.

Karibu sana kwa huduma za usafiri za kitaalamu, salama na za kuaminika.

Mawasiliano:
0683423435

13/11/2025

Ujanja Ni Kubeba Mabegi Na Kuwahi Siti Za Dirishani.

Sasa, ili uepukane na usumbufu, tunakushauri
1. Kujiunga na GROUP LA HUDUMA YA USAFIRI WA MABASI - KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA kupitia link hii https://chat.whatsapp.com/DkDaMkBVIIHEIt3b6BYbeA?mode=wwt
2. Kupanga vizuri ratiba ya safari na kisha kununua Tiketi mapema sana.

Route Zetu (Go & Return):
******************************
DAR-ES-SALAAM-MWANZA.
📍Dar->Dodoma
📍Dar->Singida
📍Dar->Igunga
📍Dar->Nzega
📍Dar->Shinyanga
📍Dar->Mwanza
DAR-ES-SALAAM-SONGEA.
📍Dar->Iringa
📍Dar->Mafinga
📍Dar->Makambako
📍Dar->Njombe
📍Dar->Songea

☎️ AGENT ABDUL - 0683423435.

KUELEKEA UFUNGUZI WA VYUO VYOTE VYA ELIMU YA KATI NA JUU VYA UMMA NA BINAFSI:JE! UNAHITAJIKA KUFANYA NINI?Ili kuepukana ...
12/11/2025

KUELEKEA UFUNGUZI WA VYUO VYOTE VYA ELIMU YA KATI NA JUU VYA UMMA NA BINAFSI:

JE! UNAHITAJIKA KUFANYA NINI?
Ili kuepukana na adha mbalimbali, unashauriwa;
1. Kujiunga na GROUP LA HUDUMA YA USAFIRI WA MABASI - KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA kupitia link hii https://chat.whatsapp.com/DkDaMkBVIIHEIt3b6BYbeA?mode=wwt
2. Kupanga vizuri ratiba ya safari na kisha kununua Tiketi mapema sana.

UCHAMBUZI MFUPI WA HALI YA HUDUMA YA USAFIRI WA MABASI:Ninakupa uchambuzi mfupi wa hali ya huduma ya usafiri wa mabasi n...
12/11/2025

UCHAMBUZI MFUPI WA HALI YA HUDUMA YA USAFIRI WA MABASI:
Ninakupa uchambuzi mfupi wa hali ya huduma ya usafiri wa mabasi nchini Tanzania katika kipindi cha kuanzia mwezi Novemba hadi Februari, kipindi ambacho kwa kiasi kikubwa huambatana na mambo makuu matatu yanayoathiri huduma za usafiri wa mabasi. Mambo hayo ni;
📍Msimu wa ufunguzi wa vyuo vikuu na vya kati
📍Msimu wa likizo
📍Msimu wa sikukuu
Katika kipindi hicho, mahitaji huongezeka (Peak Season) na kupelekea hali zifuatazo;
📍Kuongezeka kwa Abiria
📍Changamoto za Tiketi
📍Ongezeko la nauli zisizo Rasmi
📍Msongamano Vituoni
📍Usalama Hafifu

JE! UNAHITAJIKA KUFANYA NINI?
Ili kuwa salama, unashauriwa;
1. Kujiunga na GROUP LA HUDUMA YA USAFIRI WA MABASI - KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA kupitia link hii https://chat.whatsapp.com/DkDaMkBVIIHEIt3b6BYbeA?mode=wwt
2. Kupanga vizuri ratiba ya safari na kisha kununua Tiketi mapema sana.

Ahsante.

Jiunge Na Group La HUDUMA YA USAFIRI WA MABASI - KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA Kupitia Link Hii https://chat.whatsapp.com/...
08/11/2025

Jiunge Na Group La HUDUMA YA USAFIRI WA MABASI - KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA Kupitia Link Hii https://chat.whatsapp.com/DkDaMkBVIIHEIt3b6BYbeA?mode=wwt

Routes [GO & RETURN]:
DAR-ES-SALAAM-MWANZA.
📍Dar->Morogoro
📍Dar->Dodoma
📍Dar->Singida
📍Dar->Igunga
📍Dar->Nzega
📍Dar->Shinyanga
📍Dar->Mwanza
DAR-ES-SALAAM-SONGEA.
📍Dar->Morogoro
📍Dar->Iringa
📍Dar->Mafinga
📍Dar->Makambako
📍Dar->Njombe
📍Dar->Songea

☎️ AGENT ABDUL - 0683423435.

Address

Wurzburg Road, Nata
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Warusimbi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Warusimbi:

Share