Yuppie Tz

Yuppie Tz Online business service

30/11/2024

Kikosi kinachoanza dhidi ya Namungo FC


Imeanz kunyesh
30/11/2024

Imeanz kunyesh

BREAKING Nzige 🐸 Awana Ujanja Siwange mvumilia Chakinorisi Ata Mechi Mbili Kwanza πŸ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚
:Awali Miguel gamondi alipokea barua
kutoka kwa viongozi wa yanga akiombwa afike yanga
headquarter
Leo gamondi amemjibu Arafat haji kupitia email
akikubali kurejerea kilabuni yanga
Gamondi tayari ameanza safari akitokea Argentina
atawasili kesho Airport saa
05:30Am.

30/11/2024

🚨_|| π— π—¦π—œπ—žπ—œπ—˜ π— π—¦π—˜π— π—”π—π—œ π—ͺ𝗔 𝗧𝗔𝗕𝗒π—₯𝗔 π—¨π—‘π—œπ—§π—˜π——

➑️ β€œNiseme tu sisi Tabora United tumejipanga vizuri sana katika mechi zetu zijazo , kila timu itafungwa kwa wakati wake hasa wale waliotufunga mabao matatu (Simba) raundi ya kwanza , raundi ya pili tutampasua kwetu".

➑️ Christina Mwagala, Meneja wa Habari wa Tabora United.

30/11/2024

πŸ”

Timu ya maisha yetu, furaha yetu Nyuki wa Tabora inapoishi🀩

Tulianza kumtoa manundu Mpangaji leo tumemtoa manundu na mwenye Nyumba kabisa, Nyuki hakumbatiwi JamaniπŸ˜‚πŸ™Œ

πŸ’™πŸ€ | β™Œ | πŸβ„’

30/11/2024

Address

Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yuppie Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share