03/05/2024
PID NI NINI?
Ni maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni semi ya kitabibu inayoelezea maambukizi ya shingo ya uzazi, tumbo la uzazi na mirija ya fallopio. Kwa kawaida maambukizi haya husababishwa na bakteria.
Ingawa mara nyingi ni maamkubizi yanayosambazwa kwa njia ya kujamiiana (STI), k**a vile klamidia au kisonono, wakati mwingine maambukizi haya huweza kusababishwa na bakteria wengine. PID inaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya miaka 15 and 24 huathirika zaidi.
Dalili za PID
Maumivu kwenye nyonga na tumbo
Maumivu wakati wa kujamiiana
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi
Kutokwa na majimaji yasiyo ya kawaida ukeni
Kutokwa na uchafu mweupe, rangi ya cream na unatoa harufu mbaya
Baadhi ya watu huweza kupata homa, kichefuchefu, kutapika au maumivu wakati wa kujisaidia.
K**a una dalili hizi na hujazitibu kwa muda mrefu madhara yake
1. Kushindwa kushika mimba
2. Kupata cancer ya kizazi
Njoo nikusaidie uondokane na shida hii, k**a upo dar njoo ofisi kwangu posta mpya jengo la ips gorofa ya tatu na wa mikoani piga 0713802418/0755802418. Njoo nikusaidie leo uache kuteseka na PID.