Balenz Media.

Balenz Media. The Favourity Talent Voice

Always appreciate what you have before it's gone...Muda wote heshimu chochote ulichonacho kabla hakijakutoka...
10/09/2018

Always appreciate what you have before it's gone...
Muda wote heshimu chochote ulichonacho kabla hakijakutoka...


25/08/2018

Kuna time unaweza kupotoshwa na vitendo vifanyavyo na watu ambao kwa namna moja ama nyingine unawaamini
Mtu unatizamia hivi unakutana na vile amiita K**a kwamba yanaweza kumpotosha mtu akaenda mbali na alivopangilia. Unaweza ku subscribe you tube channel ya kwa video nyingine zenye kutia hamasa wewe


   Maisha huwa hatumalizi kujibu maswali!Unaitwa naniUnaishi wapiUnaelimu ganiUnafanya wapiWewe mwenyeji wa wapiUnauma n...
23/08/2018


Maisha huwa hatumalizi kujibu maswali!
Unaitwa nani
Unaishi wapi
Unaelimu gani
Unafanya wapi
Wewe mwenyeji wa wapi
Unauma nini
Unasali wapi
Maswali na majibu sio school tu ni mtindo wa maisha...


 Aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa amifariki dunia asubuhi ya leo. Koffi Annan amifariki akiwa na umri was miaka...
18/08/2018


Aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa amifariki dunia asubuhi ya leo. Koffi Annan amifariki akiwa na umri was miaka 80 huko Switzerland..


   Love what u do and do what u love.Penda ambacho unakifanya na fanya unachokipenda...
18/08/2018


Love what u do and do what u love.
Penda ambacho unakifanya na fanya unachokipenda...


Tumiukata nusu mwezi jully  ambapo msanii   bado Yuko kileleni kwenye    ya   .. Heat kibao zimiachiwa ndani ya mwezi wo...
18/08/2018

Tumiukata nusu mwezi jully ambapo msanii bado Yuko kileleni kwenye ya .. Heat kibao zimiachiwa ndani ya mwezi wote huu pengine unadhani Nani anweza kupenya katika chart hii kwa mwezi ataingiza nyimbo zaidi ya moja K**a ilivokua kwa mkongwe . Shusha comment yako ukipendekeza wimbo husikaa, vigezo ni vilevile /destiny

Tamaduni nyingi duniani kiujumla zinazungumzia suala la kuoa kwamba ni la busara na la kuhimizwa kwa vijana ambao umri w...
18/08/2018

Tamaduni nyingi duniani kiujumla zinazungumzia suala la kuoa kwamba ni la busara na la kuhimizwa kwa vijana ambao umri wao unawaruhusu... Imikua tafauti kidogo kwa Karne za hivi karibuni vijana wengi wamikua wakiliweka mbali swala hilo na ilihali wamishafikia umri muafaka na pengine wana kila kitu cha kuweza kuitunza familia. Unaweza kuwa shahidi wa hili kwa kujiangalia wewe mwenyewe au wanaokuzunguka.
Mkali wa kijana amiliona hili K**a changamoto ingawa mwenyewe hajalifanyia kazi na sasa amitoa kibao kinachokwenda kwa jina la huku akihamasisha vijana wengine watekeleze ibada hiyo k**a inavyoelezwa kwenye maandiko.
Pitia kwa link iliyoko kwenye bio ya uweze kupata mafundisho hayo...


Mkali wa musiki wa Afro-pop   amikuja kivingine kabisa kwa kuachia kibao chenye kuhamasisha amani ,upendo,na ushirikiano...
18/08/2018

Mkali wa musiki wa Afro-pop amikuja kivingine kabisa kwa kuachia kibao chenye kuhamasisha amani ,upendo,na ushirikiano mzuri duniani amikiita . Kwenye 'caption' yake muda mchache kabla hajakiachia kibao hicho aliandika..."Victory is always possible for the person who refuses to stop fighting So Now Lets Fight the Right Fight. “HEAL D WORLD” 17-8-2018 "
"Ushindi uko muda wote endapo utakataa kuacha kupambana Sasa acha tupambane mapambano ya haki."IPONYE DUNIA"...


Waswahili wanasema kazi na swala wakiimaanisha kila kwenye   zako mshirikishe na Mungu .Kwa Lugha nyingine unaweza kuiit...
14/08/2018

Waswahili wanasema kazi na swala wakiimaanisha kila kwenye zako mshirikishe na Mungu .
Kwa Lugha nyingine unaweza kuiita hujatofautiana na mkali wa Hip-hop Tz ...



    Safari ni Ndefu Sana, Vikwazo na Vishawishi ni Vingi Sana....kuna Muda inakatisha tamaa, kuna Muda Navunjika Moyo......
14/08/2018


Safari ni Ndefu Sana, Vikwazo na Vishawishi ni Vingi Sana....kuna Muda inakatisha tamaa, kuna Muda Navunjika Moyo...lakini naamini Vitu Vyote ni temporally hata Maisha Yenyewe....ni temporally so Hakuna Kurudi Nyuma na Uzuri Adui Ukimjuwa usisubiri Akumalize ✊🏿 ..


@ Mwanza

Leo ni Agosti kumi na tatu birthday ya mkali wa mashairi yenye vina    imikua kawaida yake huwa anaachia track,, Track i...
13/08/2018

Leo ni Agosti kumi na tatu birthday ya mkali wa mashairi yenye vina imikua kawaida yake huwa anaachia track,, Track iko hewani inaitwa umeshaisikiliza?...


M/mungu kamwe akuwahi kukosea katika maamuzi yake Mbele yako nyuma yetu Mzee wetu Almaarufu KING MAJUTO _ R.I.P
09/08/2018

M/mungu kamwe akuwahi kukosea katika maamuzi yake Mbele yako nyuma yetu Mzee wetu Almaarufu KING MAJUTO _ R.I.P


Address

Kazegunga
Kigoma
KIGOMA

Telephone

0688153221

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Balenz Media. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category