20/04/2026
.......
Chaguo zuriii na bora kwa safari zako za kila siku ni SHIGAKA LUXURY;
Safiri nasi leo ili ufurahie safari yako wakati wote unapokuwa safarini.
SAFARI ZA KILA SIKU SHIGAKA LUXURY.
GEITA - DAR-ES-SALAAM
DAR-ES-SALAAM - GEITA
Nauli Yetu:
TZS. 90,000/=
GEITA - DSM: Safari inaanza saa saba kamili mchana.
DSM - GEITA: Safari zetu zinaanza saa sita kamili mchana kutokea pale Tiptop Manzese na Mbezi Magufuli kutoka Saa saba kamili mchana safari inaanza.
Huduma kwa Wateja:
GEITA: ☎️0794828282
DAR: ☎️0796 555 958.....................................
SAFARI ZA KHM-DAR, DAR-KHM KILA SIKU.
KHM - DAR
DAR - KHM
Nauli Yetu:
TZs: 75,000/=.......
Bus ya Kwanza: Saa nane Kamili Mchana.
Bus ya Pili: Saa kumi kamili Jioni.
Bus ya Tatu: Saa kumi na mbili Jioni.
NB:
Ratiba hii ni kwa kutoka Dar-es-Salaam kwenda Kahama na kutoka Kahama kwenda Dar-es-Salaam. ,
Huduma kwa Wateja:
☎️Kahama Office.
0742510010
0742510020
☎️Dar-es-Salaam Office.
0747510010
0796 555 958
Mizigo Dar Office.
0741210049...............
Kata ticket yako mapema sana kwa kutembelea www.shigaka.co.tz kupata online ticket Bila usumbufu wowote na ukiwa mahali popote pale..
Lakini pia unaweza kukata ticket yako online ukiwa mahali popote pale na kupata ticket yako au unaweza download app ya busbora play store/App store.....
Book Ticket Online.
www.shigaka.co.tz
Shigaka Luxury We Say
"YOUR DESTINATION OUR INSPIRATION "