19/05/2020
SITASAHAU
SEHEMU YA 5
Engel aliwasha gari na tukaanza kuelekea SEHEMU ambayo Mimi mwenyewe sikujua Mara nilish*tukia tupo Kona ya bwiru na muda mfupi tuliingia Barabara ya Ilemela inayoelekea Airport, niliamua kumuuliza Engel ,,Engel tunaenda wapi mbona naona tunaenda mwendo mrefu Sana? Mrembo alinigeukia Kisha akatabasamu nakunambia ukipewa nafasi unatakiwa kuitumia vizuri na alikanyaga mafuta zaidi na gari ikawa kwenye speed 100 na ghafla nilish*tukia anaiacha main road nakuingia Barabara ambayo nilijua inaelekea moja ya hotel kubwa na za kifahari jijini Mwanza iitwayo Malaika Beach resort .. nilish*tuka nakumuuliza inamaana tunaenda Malaika hotel au Veep? Alinijibu yes why not? Nikahamaki kwa kumwambia lakini unatambua kule Kuna gharama kubwa na Mimi baba ako kanipa shilingi elfu ...kabla sijamaliza kuongea alinikatisha na kunambia Hilo niachie Mimi Chris. Kwa kweli nilishangaa Sana kwani sikuwaza kuwa nitakuja kuingia katika hotel Ile kubwa kwani kukanyaga tu pale gharama yake ilikuwa 10,000 hapo hujagusa maji wala soda.. Engel alipaki gari na moja kwa moja tukaelekea reception ambapo nilish*tuka Engel akimpa mhudumu 20000 na kumwambia anomba chumba chenye single akamkabidhi kibunda Cha pesa ambacho sikujua amekitoa wapi nilibaki nimeduwaa sielewi kinachoendelea..mhudumu alituongoza mpaka room no xx ambapo alitukabidhi ufunguo nasi tukaingia humo lakini kabla ya chochote nilimuuliza Engel kwa Nini amenileta pale aliishia kucheka Kisha akajirusha kitandani huku kimini chake kifupi kikiacha nusu ya maumbile yake wazi nikiwa nimeduwaa alinirukia na kunisukumia kitandani Kisha.....Nini kiliendelea ..
Tukutane SEHEMU ya sita
Mtunzi Tailes Linus Chaula