Tanzania_National_Buses

Tanzania_National_Buses Its all about buses �

30/04/2026

●KUTOKA MAKTABA

Kipindi Icho Miaka Ya 2010 Chuma Zikiwa Aljazeera Ruaha Mbuyuni Chimba Dawa

Hood Za Mbeya Dar,Kuna Hood Ya Mbeya Arusha Ndio Inatoka Pale Mbele Ishawaleta Wotee Haooo

Kuna Sumry Apo Ya Kutoka Mbeya Mjini,Kuna Abood Apo Ya Kutoka Mbeya Mjini Pia Uelekeo Dar

Na Apo Wakizubaaa Tuuu Abood Na Hood Panyabuku Za Kutoka Tunduma Zinawafumaaa Hizo Zilikuwa Masaa Ya Kufaa Mtuuu 🔥🔥🔥 Apo Ilikuwa Inapona Hood Ya Mbeya Arusha Tuuu

Ilaa Zamani Ilikuwa Raha Saaaana Aiseee 😂😂

Sasa Hivi Gari Mbona Haziendi Aiseeee

23/04/2026
●NAULI MPYA Kiwango Cha Nauli Mpyaa Kutokana Na Umbali Husika Kuanzia Ruti Za Mabasi Makubwa,Mabasi Madogo Na Teksi Mtan...
18/04/2026

●NAULI MPYA

Kiwango Cha Nauli Mpyaa Kutokana Na Umbali Husika Kuanzia Ruti Za Mabasi Makubwa,Mabasi Madogo Na Teksi Mtandao

●WAKORAA WAITUUWahaya Ndio Waasisi Wa Polo Naona Polo Zimeingiaa Wataalamu Wa Hizi Kazi Tuwahi Bukoba Na Hizi Polo Za Ch...
18/04/2026

●WAKORAA WAITUU

Wahaya Ndio Waasisi Wa Polo Naona Polo Zimeingiaa Wataalamu Wa Hizi Kazi

Tuwahi Bukoba Na Hizi Polo Za Choo

Marcopolo Paradiso X1200
Scania F360

●LAST BORN Marcopolo Audace 1050 Kinu Ni Scania K310
16/04/2026

●LAST BORN

Marcopolo Audace 1050

Kinu Ni Scania K310

STUNTS ZA POLO😂😂🔥Ni Kule Nyanda Za Juu Kusini Nadhani Yatajaaa Mapolo Tupuuu Apo Uyole Junction Ni Polo Tupuuuu Zinatapa...
10/04/2026

STUNTS ZA POLO😂😂🔥

Ni Kule Nyanda Za Juu Kusini Nadhani Yatajaaa Mapolo Tupuuu Apo Uyole Junction Ni Polo Tupuuuu Zinatapakaaaa Tuuu

Namuona Captain Njau Anapasha Misuli Moto Tuu 😂😂

Litolewe Nalo Muda Ule Wa Kashesheeee

●SPRING INTO SUMMER Isuzu On Duty 🔥🔥🔥🔥
08/04/2026

●SPRING INTO SUMMER

Isuzu On Duty 🔥🔥🔥🔥

●NEW BABY Aka Ndio Ka BABY Ka Katarama Katoto Katako Dekezwa Aswaaaa Ka G7 Single Axles Sijui Kataenda Wapi Sasa
03/04/2026

●NEW BABY

Aka Ndio Ka BABY Ka Katarama Katoto Katako Dekezwa Aswaaaa

Ka G7 Single Axles

Sijui Kataenda Wapi Sasa

●ASIYEFAA KAFAAA😀😀😀😂Ni Zhongtong Mega New Model ZK6132DA Nadhani Swax Zitawahusu Kwa Kweli Bila Shakaaaa Mega La Maliwat...
19/03/2026

●ASIYEFAA KAFAAA😀😀😀😂

Ni Zhongtong Mega New Model ZK6132DA Nadhani Swax Zitawahusu Kwa Kweli Bila Shakaaaa

Mega La Maliwato Ilooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥

●MALLESSAS Ayaa Kutana Na Captain Kandamba Na Nduguye Dr Kaboro Tuwahi Zetu Chunya Makongorosi
17/03/2026

●MALLESSAS

Ayaa Kutana Na Captain Kandamba Na Nduguye Dr Kaboro

Tuwahi Zetu Chunya Makongorosi

●PF4 ON DUTY 🔥🔥Jamani Hii EQR Ya Buti Mbona Imeingia Kimya Kimya Hivi Aiseee 😂😂😂😂Tumeshangaaa Tuuu Chuma Ipo Kwenye Base...
15/03/2026

●PF4 ON DUTY 🔥🔥

Jamani Hii EQR Ya Buti Mbona Imeingia Kimya Kimya Hivi Aiseee 😂😂😂😂

Tumeshangaaa Tuuu Chuma Ipo Kwenye Basement Uelekeo Ni Kusini Kama....Kawaida Yake Mbele Mbele Yaooo

●ZILIPENDWA Maendeleo Ni Mchakato Mkubwa Saaana Unao Hitaji Saana Uvumilivu Utakao Ambatana Na Juhudi Za Kuifanya Ile Ka...
12/03/2026

●ZILIPENDWA

Maendeleo Ni Mchakato Mkubwa Saaana Unao Hitaji Saana Uvumilivu Utakao Ambatana Na Juhudi Za Kuifanya Ile Kazi Yako Bila Kuchoka

Maendeleo Na Bahati Ni Vitu Tofauti Kabisaa 😂

Aya Tuwahi Zetu Tanga Na D14 Umeme

Address

Ngome
Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania_National_Buses posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania_National_Buses:

Share

Category