12/03/2017
Je unahitaji kuingiza nchini gari/ kontena au mzigo wowote kutoka nje ya nchi?
Amico Trading &Services Ltd ni kampuni ya kizalendo iliyosajiliwa nchini inayotoa huduma za uwakala wa forodha ( Customs clearing &Forwarding ) pamoja na kusafirisha mizigo kutoka bandari ya Dar Es Salaam kwenda mkoa wowote nchini pamoja na nje ya nchi.
Kwanini tunataka tukuhudumie?.
1.0 Amico Trading tutakulipia gharama za bandari hadi tukukabidhi mzigo au gari yako, na tutakupa credit period ya siku 30 kutulipa.
1.1 Amico Trading tunawahakikishia wateja wetu wote kutowacheleweshea mizigo yao na hivyo kutolazimika kulipa gharama za ziada za kuchelewesha kutoa mzigo bandarini.
1.2 Amico Trading tutatoa na kukabidhi mzigo/ gari yako ndani ya siku saba tangu meli kufika bandarini.
Tunapatikana Dar Es salaam , mtaa wa Lumumba jengo la USHIRIKA TOWER ghorofa ya 10.
Mawasiliano. +255 22 2183480
+255 713 350509
+255 765 163326
Mtandao. www.amicotrading.co.tz