Faima Shuttle Bus Service

  • Home
  • Faima Shuttle Bus Service

Faima Shuttle Bus Service Faima Shuttle: Your Journey, Our Priority. Ready to go.

FAIMA SHUTTLE
THE ROAD TO COMFORT STARTS

· � Starting 15 Sept 2025
· � Book & Pay Easy ( M-Pesa, Card, Cash)
· � Safe & Comfortable Rides
· � Reliable Faima Shuttle: Read to go.

Tunakutakia Ramadan Kareem
18/02/2026

Tunakutakia Ramadan Kareem

Tunakutakia Kwaresma Njema
18/02/2026

Tunakutakia Kwaresma Njema

Usafiri Bora Unaotimiza Ndoto YakoAbiria wanaosafiri na Treni ya SGR kutoka Dar es salaam kuelekea mikoa ya Morogoro na ...
29/01/2026

Usafiri Bora Unaotimiza Ndoto Yako

Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR kutoka Dar es salaam kuelekea mikoa ya Morogoro na Dodoma wanaendelea kufurahia huduma ya Faima Shuttle Bus Service kwa kuepukana na changamoto ya Usafiri wa kufika katikati ya miji hukia lakini pia huduma hii inaguza viunga vya mji yote husika kwa wakati mmoja.

Tangu kuanza kwa kwa huduma hii wasafiri wamekuwa wakifurahia usafiri wa uhakika kutokana na upatikanaji wa mabasi ya Faima katika train station za Dodoma na Morogoro ambapo hapo awali kabla ya kuanza kwa huduma hii ilikuwa changamoto kubwa kwa wasafiri wanaposhuka katika treni, Kupitia shirika la reli Tanzania TRC kufungua mlango wa wawekezaji kuboresha utoaji wa huduma kwa watanzania basi changamoto hiyo imefikia kikomo.

21/01/2026

Riding Tanzania's New Electric SGR + Shuttle Bus Full Travel Experience

Nauli sio kikwazo tena unaposhuka kwenye SGR Train Samia Suluhu Dodoma kutoka hapo kwenda unapoelekea hakikisha unapata ...
24/11/2025

Nauli sio kikwazo tena unaposhuka kwenye SGR Train Samia Suluhu Dodoma kutoka hapo kwenda unapoelekea hakikisha unapata huduma ya Faima Shuttle Bus Service kwa gharama ya 5,000/= tuu Hakika ni mkombozi

Safiri kifahari kwa 5,000/= baada ya kushuka kwenye SGR Trein Dodoma na Morogoro
22/11/2025

Safiri kifahari kwa 5,000/= baada ya kushuka kwenye SGR Trein Dodoma na Morogoro

Je umewahi kusumbuka na mizigo pale unapokuwa safarini hasa safari ya Dodoma au Morogoro? Sasa suluhisho limepatikana uk...
22/11/2025

Je umewahi kusumbuka na mizigo pale unapokuwa safarini hasa safari ya Dodoma au Morogoro? Sasa suluhisho limepatikana ukishuka tuu kwenye Train ya SGR basi utakutana na mabasi ya hapo utakuwa umepata usafiri wa uhakika wewe pamoja na mizigo yako.

HAKIKISHA UNAPATA HUDUMAYA FAIMA SHUTTLE BUS SERVICEUNAPOSHUKA KATIKA TRENIYA SGR MOROGORO STESHENIYA SAMIA SULUHU KUELE...
26/10/2025

HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA
YA FAIMA SHUTTLE BUS SERVICE
UNAPOSHUKA KATIKA TRENI
YA SGR MOROGORO STESHENI
YA SAMIA SULUHU KUELEKEA
KATIKA VIUNGA VYOTE VYA
MJI NA PIA WAKATI WA
KUPANDA TRENI YA SGR
DODOMA

HAKIKISHA UNAPATA HUDUMAYA FAIMA SHUTTLE BUS SERVICEUNAPOSHUKA KATIKA TRENIYA SGR MOROGORO STESHENIYA JAKAYA KIKWETE KUE...
26/10/2025

HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA
YA FAIMA SHUTTLE BUS SERVICE
UNAPOSHUKA KATIKA TRENI
YA SGR MOROGORO STESHENI
YA JAKAYA KIKWETE KUELEKEA
KATIKA VIUNGA VYOTE VYA
MJI NA PIA WAKATI WA
KUPANDA TRENI YA SGR
MOROGORO

Safari yako inastahili kuwa ya kipekee, toka mwanzo hadi mwisho.Hii ndiyo ahadi yetu kwa usalama wako, starehe yako, na ...
26/10/2025

Safari yako inastahili kuwa ya kipekee, toka mwanzo hadi mwisho.
Hii ndiyo ahadi yetu kwa usalama wako, starehe yako, na utulivu wako wa roho ukiwa safarini na FAIMA SHUTTLE BUS SERVICE

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Faima Shuttle Bus Service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Transport Service?

Share