Beta Cargo

Beta Cargo Tunasafirisha bidhaa zote kutoka China 🇨🇳 hadi Tanzania 🇹🇿! Haraka na salama.

Wasiliana nasi!
📍Dar es salaam, Makumbusho karibu na grand villa hotel.
📍 (BETA CARGO,15623217261广州市越秀区广元西路219号喀麦隆大厦 2楼 219, (JINA LA MTEJA + NAMBA YA SIMU)

Timely guidance through life’s challenging routes, Happy International Fathers Day 💚
21/06/2026

Timely guidance through life’s challenging routes, Happy International Fathers Day 💚

Haya hapa ni  maeneo mazuri unayopaswa kuzingatia kwa ununuzi wako wa jumla (wholesale) nchini China.Unaweza kufanya agi...
20/06/2026

Haya hapa ni maeneo mazuri unayopaswa kuzingatia kwa ununuzi wako wa jumla (wholesale) nchini China.

Unaweza kufanya agizo lako bila kuondoka Tanzania na bidhaa zako zitafika mlangoni mwako au dukani mwako nchini Tanzania ndani ya siku 7 hadi 14 za kazi.

Hapa kuna mchakato wa kuagiza na kupanga usafirishaji wako kutoka China:
- Tanzania 🇹🇿

✅Kwenye jukwaa, programu au tovuti ya muuzaji wako, jaza sehemu ya usafirishaji au maelezo ya mpokeaji k**a ifuatavyo:

Jina: JINA LAKO - BETA
Namba yako ya Simu:
MAHALI PAKO:

Anwani ya Ofisi Yetu ya China:

🇨🇳2nd Floor, Cameroun Building, No. 219 Guangyuan West Road, Yuexiu District, Guangzhou

(广州市越秀区广元西路219号喀麦隆大厦 2楼 219)

Contact: 15623217261

💚

17/06/2026

Beauty Market Guangzhou (Meibo) Jumba kubwa la urembo Asia!

Makeup, skincare, nywele, vifaa vya salon… Bei za jumla, ubora wa China!
Hii ndio mahali wafanya biashara wa urembo wanapokuja kujaza stock! 💰🇨🇳
Unataka kuja hapa?

K**a ni mara yako ya kwanza kufika china, tutakupokea na kukutembeza na kukuonesha masoko tofauti hapa nchini china 💚

Tupo hapa kuhakikisha Safari yako China haiwi ngumu, tutakupokea na kukutembeza masokoni bure!! 💚Wasiliana nasi sasa +86...
10/06/2026

Tupo hapa kuhakikisha Safari yako China haiwi ngumu, tutakupokea na kukutembeza masokoni bure!!

💚

Wasiliana nasi sasa

+8615623217261
0780298293

Tunapatikana ;
🇨🇳2nd Floor, Cameroun Building, No. 219 Guangyuan West Road, Yuexiu District, Guangzhou
(广州市越秀区广元西路219号喀麦隆大厦 2楼 219)
🇹🇿Makumbusho, Dar es salaam, mtaa wa kongombili

Chagua Sisi, Uchague uharaka na uangalizi wa mizigo yako. 💚Tunapatikana ;🇨🇳2nd Floor, Cameroun Building, No. 219 Guangyu...
10/06/2026

Chagua Sisi, Uchague uharaka na uangalizi wa mizigo yako. 💚

Tunapatikana ;
🇨🇳2nd Floor, Cameroun Building, No. 219 Guangyuan West Road, Yuexiu District, Guangzhou
(广州市越秀区广元西路219号喀麦隆大厦 2楼 219)
🇹🇿Makumbusho, Dar es salaam, Kongombili street.

Tunapokea mizigo ofisini kwetu kila siku 📅! Wasiliana nasi sasa +8615623217261 0780298293  Tunapatikana ; 🇹🇿Makumbusho, ...
07/06/2026

Tunapokea mizigo ofisini kwetu kila siku 📅!

Wasiliana nasi sasa
+8615623217261
0780298293
Tunapatikana ;
🇹🇿Makumbusho, Dar es salaam, mtaa wa Senegal

Kuagiza mtandaoni kunaweza kuwa vigumu sana kwa wanaoanza mara ya kwanza..Habari njema ni kwamba tuko hapa kukusaidia 💚H...
04/06/2026

Kuagiza mtandaoni kunaweza kuwa vigumu sana kwa wanaoanza mara ya kwanza..

Habari njema ni kwamba tuko hapa kukusaidia 💚

Hapa kuna mwongozo rahisi wa jinsi ya kuagiza moja kwa moja kutoka China na Beta Cargo— haraka na salama 📦

Wasiliana nasi sasa WhatsApp +8615623217261 0780298293  0793374007 Tunapatikana ;🇨🇳2nd Floor, Cameroun Building, No. 219...
31/05/2026

Wasiliana nasi sasa
WhatsApp
+8615623217261
0780298293
0793374007
Tunapatikana ;
🇨🇳2nd Floor, Cameroun Building, No. 219 Guangyuan West Road, Yuexiu District, Guangzhou
(广州市越秀区广元西路219号喀麦隆大厦 2楼 219)
🇹🇿Makumbusho, Dar es salaam, mtaa wa Senegal

Intended to benefit you and to help us serve you better Thanks for your continuous cooperation 💚
29/05/2026

Intended to benefit you and to help us serve you better

Thanks for your continuous cooperation

💚

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Beta Cargo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share