Wapi Cargo

Wapi Cargo We help businesses source, ship, clear, and deliver goods across borders reliably. �+255 754 557 037

20/03/2026
WAPI CARGO: SULUHISHO LA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KIMATAIFA NA KITAIFA Tunatoa huduma za usafirishaji wa mizigo kwa anga, ...
20/03/2026

WAPI CARGO: SULUHISHO LA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KIMATAIFA NA KITAIFA

Tunatoa huduma za usafirishaji wa mizigo kwa anga, baharini na barabara pamoja na usimamizi wa forodha kwa viwango vya kimataifa.

Tunakuunganisha na China, Dubai, Uturuki, India, Marekani, Japan, Ulaya na Afrika Kusini hadi Tanzania, pamoja na usafirishaji wa ndani Tanzania Bara na Zanzibar.

Tunahakikisha:
* Kasi na ufanisi
* Usalama wa mizigo
* Ufuatiliaji wa kidigitali
* Uwajibikaji wa kitaalamu
* Gharama nafuu zenye uwazi

Biashara yako inahitaji mshirika wa uhakika.

Wasiliana nasi leo:
+255 754 557037
+255 719 900849
+86 190 9875 4080 (China)

[email protected]
www.wapicargo.com

Instagram:
Facebook: Wapi Cargo
TikTok:

Wapi Cargo — Fanya Biashara Bila Msongo wa Mawazo. Mizigo Tuachie Sisi..

WAPI CARGO: SULUHISHO LA USAFIRISHAJI WA MIZIGO Tunahakikisha:* Kasi na ufanisi* Usalama wa mizigo* Ufuatiliaji wa kidig...
20/03/2026

WAPI CARGO: SULUHISHO LA USAFIRISHAJI WA MIZIGO
Tunahakikisha:
* Kasi na ufanisi
* Usalama wa mizigo
* Ufuatiliaji wa kidigitali
* Uwajibikaji wa kitaalamu
* Gharama nafuu zenye uwazi

Biashara yako inahitaji mshirika wa uhakika.

Wasiliana nasi leo:
+255 754 557037
+255 719 900849
+86 190 9875 4080 (China)

[email protected]
www.wapicargo.com

Instagram:
Facebook: Wapi Cargo
TikTok:

Wapi Cargo — Fanya Biashara Bila Msongo wa Mawazo. Mizigo Tuachie Sisi..

WAPI CARGOTUNAKUSAIDIA KUPATA VISA YA CHINAUbalozi umefunguliwa. Hakikisha una:■ Leseni ya Biashara■ Kitambulisho cha Mw...
14/03/2026

WAPI CARGO
TUNAKUSAIDIA KUPATA VISA YA CHINA

Ubalozi umefunguliwa. Hakikisha una:
■ Leseni ya Biashara
■ Kitambulisho cha Mwalikaji
■ Quotation na Proforma Invoice

Tunakuandalia nyaraka zote za kibiashara kwa usahihi. Tunasafirisha mizigo yako kwa haraka na bei nafuu

Wasiliana nasi:
+255 754 557037 | +255 719 900849 | +86 190 9875 4080
[email protected] | www.wapicargo.com

Usafirishaji wa haraka, salama na wa uhakika Tanzania na dunia!Wapi Cargo – Mizigo tuachie sisi.Call: +255 754 557037
14/03/2026

Usafirishaji wa haraka, salama na wa uhakika Tanzania na dunia!
Wapi Cargo – Mizigo tuachie sisi.

Call: +255 754 557037

09/03/2026

WAPI CARGO
Sourcing na Usafirishaji wa Vifaa vya Marathon
China • Dubai • India → Tanzania

Tunatafuta na kusafirisha T-shirts, Medals, Bib Numbers, Caps, Bottles, Bags na vifaa vingine vya Marathon kwa ubora wa kimataifa na bei nafuu.

Huduma kamili: Sourcing • Production • Shipping • Clearing

■ Simu/WhatsApp: +255 754 557 037 / +255 719 900 849
www.wapicargo.com

USIPOTEZE PESA KWA KUTOKUJUAWaagizaji wengi hupoteza fedha wanapoagiza mizigo China kwa sababu hawajui mfumo sahihi wa s...
09/03/2026

USIPOTEZE PESA KWA KUTOKUJUA

Waagizaji wengi hupoteza fedha wanapoagiza mizigo China kwa sababu hawajui mfumo sahihi wa sourcing na logistics.

Epuka makosa k**a:
■ Supplier feki
■ Malipo yasiyo salama
■ Kuto kukagua mizigo
■ Gharama za usafirishaji zisizojulikana

Kwa usalama na gharama nafuu source na safirisha mizigo yako na Wapi Cargo.

+255 754 557 037
+255 719 900 849
www.wapicargo.com

POSTERWAPI CARGO — SOURCING SERVICES■ Tunakutafutia bidhaa, mashine na vifaa kutoka China, Dubai, Uturuki, India, Japan,...
09/03/2026

POSTER

WAPI CARGO — SOURCING SERVICES

■ Tunakutafutia bidhaa, mashine na vifaa kutoka China, Dubai, Uturuki, India, Japan, Marekani na masoko ya dunia.
■ Verification ya supplier • Negotiation ya bei • Ukaguzi wa ubora • Uratibu wa ununuzi na usafirishaji hadi Tanzania.

■ Anza sasa — tuma maelezo ya bidhaa unayotafuta.

Wasiliana nasi:
+255 754 557037
www.wapicargo.com

Wasiliana nasi leo:+255 754 557037+255 719 900849+86 190 9875 4080 (China)info@wapicargo.comwww.wapicargo.comInstagram: ...
08/03/2026

Wasiliana nasi leo:
+255 754 557037
+255 719 900849
+86 190 9875 4080 (China)

[email protected]
www.wapicargo.com

Instagram:
Facebook: Wapi Cargo
TikTok:

Wapi Cargo — Fanya Biashara Bila Msongo wa Mawazo. Mizigo Tuachie Sisi..

WAPI CARGO-OFISI ZA CHINA ZIMEFUNGULIWA RASMISikukuu imekamilika. Ofisi zetu China zipo wazi na tayari kuhudumia safari ...
26/02/2026

WAPI CARGO-OFISI ZA CHINA ZIMEFUNGULIWA RASMI

Sikukuu imekamilika. Ofisi zetu China zipo wazi na tayari kuhudumia safari yako ya biashara.

Tunakuwezesha:
■ Maandalizi ya nyaraka za visa
■ Sourcing na usafirishaji wa mizigo
■ Ufuatiliaji wa mzigo hadi kufika Tanzania

Huu ndio wakati sahihi wa kuagiza, kusafiri na kupanua biashara yako.

Visa na mizigo tuachie sisi.

Wasiliana nasi sasa:
+255 754 557037
+255 719 900849
+86 190 9875 4080 (China)

Barua pepe: [email protected]
Tovuti: www.wapicargo.com

Wapi Cargo — Fanya Biashara Bila Msongo wa Mawazo.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wapi Cargo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share