04/12/2025
📸 Al-Ḥajar al-Aswad – Jiwe Tukufu la Ka‘bah
Jiwe adhimu lililobarikiwa na Allah ﷻ, na miongoni mwa alama mashuhuri za Nyumba Tukufu.
Hapa ndipo Mtume ﷺ alianza Tawaf, na hapa ndipo mahujaji kutoka kila pembe ya dunia huanzisha safari zao za ibada kwa unyenyekevu na ikhlasi.
Ni jiwe ambalo Mtume ﷺ alilibusu, akalishika, na akasisitiza fadhila za kulikaribia au kulielekea kwa ishara kisha kutamka Allāhu Akbar.
Na k**a alivyoeleza Sayyiduna ‘Umar (r.a) alipolisogelea:
“Najua wewe ni jiwe tu; hunufaishi wala kudhuru. Na lau nisingemuona Mtume ﷺ akikubusu, nisingelikubusu.”
(Kauli hii inathibitisha kwamba ibada ni kufuata Sunnah, si kulitukuza jiwe lenyewe.)
🔴 JE, UNA NIA YA KUFANYA HIJJA AU UMRAH ?
🕋 Jiandikishe leo na hakikisha safari yako ya Hajj inakuwa ya utulivu, elimu na kukubaliwa kwa idhni ya Allah (Subhanahu Wata'ala)
TANZANIA MUSLIM HAJJ TRUST: WATUMISHI WA WAGENI WA MOLA
USAJILI NA MAPOKEZI YA MAHUJAJ NA MU'UTAMIR KWA AJILI YA HAJJ NA UMRAH IMEANZA KWA MWAKA 2025-26 1447H
📲 PATA TAARIFA ZAIDI SASA KUPITIA TOVUTI YETU: 👉 hajjtrust.co.tz
📞 PIGA SIMU LEO KUWEKA NAFASI YAKO: +255 784 272 723
📍 TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM MT.PEMBA NO.16 NA MT.MKUNGUNI NO.21 KARIBU NA MAKUTANO YA LIVINGSTONE,KARIAKOO