13/08/2024
Huu ni msimu wa tano wa CRDB BANK MARATHON, Sisi k**a kampuni ya usafirishaji tunaungana na wadau wengine ili kurudisha tabasamu kwa jamii, siku ya leo tumeweza kuwatuma sehemu ya watakao tuwakilisha katika mbio izo siku ya jumapili tarehe 18 august kuchukua jezi zao. Bila shaka nawe umeshachukua ya kwako 😊. Tukutane jumapili 🔥 OFISI ZETU KWA DAR ES SALAAM;📍Urafiki Near mwendokasi bus stop📍Makumbusho plaza📍Kariakoo 📍Magufuli bus terminal📍Tabara SegereaKaribuni sana