14/03/2023
Ndugu zangu mkonda family tuliopo dar Amani ya Mungu iwe juu yetu na family'a zetu.naomba kukumbusha kikao chetu Cha mkonda family ni 19/3/2023.kitafanyika mbagala kwa ONESMO MKONDA muda saa Tisa kamili atakayepata taarifa hii amwambie na mwingine kwa mawasiliani piga 0713411138 huyu ni mwenyeji wetu