Rujewa Acros Investment CO.LTD

Rujewa Acros Investment CO.LTD Umbali sio kikwazo. Tunafikisha mizigo yako kupitia bahari, anga, reli na barabara kwa uaminifu.

05/06/2026
New Week, New Deals! 🔥🚛Anza wiki yako kwa uhakika wa clearing & forwarding iliyo haraka, salama na yenye bei nafuu.📦 Tun...
18/05/2026

New Week, New Deals! 🔥🚛
Anza wiki yako kwa uhakika wa clearing & forwarding iliyo haraka, salama na yenye bei nafuu.
📦 Tunakuhudumia bandarini na popote ulipo.
📲 Wasiliana nasi sasa kwa huduma ya kuaminika.

Ijumaa Njema! 🚚✈️🚢Usafirishaji wa mizigo aina zote kwa haraka, usalama na uaminifu.Chagua RUJEWA ACROSS INVESTMENT kwa h...
15/05/2026

Ijumaa Njema! 🚚✈️🚢
Usafirishaji wa mizigo aina zote kwa haraka, usalama na uaminifu.

Chagua RUJEWA ACROSS INVESTMENT kwa huduma bora za logistics na clearing.

📦 Bandari • Airport • Road Transport
📞 +255 783 832 627 / +255 738 586 598
📍 IG:

07/05/2026

Marketing sio kupost tu… ni kujenga TRUST na kufanya mteja akuchague! 🔥
Mariam Abdalah (Marketing Officer – Rujewa Across) anaelezea siri ya jinsi tunavyowahudumia wateja kwa uharaka na uaminifu.

📦 Clearing & Forwarding
🚛 Usafirishaji wa mizigo
⚓ Huduma za bandari

Karibu Rujewa Across Investment — biashara yako ni kipaumbele chetu.

It’s Monday! 🚀Usihofu tena kusafirisha mizigo yako, kwa sababu Rujewa Across Investment tupo tayari kukuhudumia.✅ Usafir...
04/05/2026

It’s Monday! 🚀
Usihofu tena kusafirisha mizigo yako, kwa sababu Rujewa Across Investment tupo tayari kukuhudumia.

✅ Usafirishaji wa mizigo kwa gharama nafuu
✅ Huduma ya haraka na salama
✅ Popote ulipo tunakufikia

Anza wiki yako kwa ufanisi — wasiliana nasi sasa! 📦🔥
Piga simu namba 0783832627

Leo tunasimama kuwapongeza mashujaa wa kazi! 💯🔥Wafanyakazi wa Rujewa Across, juhudi zenu zinaifanya kampuni kusonga mbel...
01/05/2026

Leo tunasimama kuwapongeza mashujaa wa kazi! 💯🔥
Wafanyakazi wa Rujewa Across, juhudi zenu zinaifanya kampuni kusonga mbele kila siku.
Heri ya Mei Mosi! 🌍💪

MEI MOSI 🌍Tunaadhimisha nguvu ya mfanyakazi—nguzo ya maendeleo.Rujewa Across Investment Ltd tunawatakia wafanyakazi wote...
01/05/2026

MEI MOSI 🌍
Tunaadhimisha nguvu ya mfanyakazi—nguzo ya maendeleo.

Rujewa Across Investment Ltd tunawatakia wafanyakazi wote Heri ya Sikukuu ya Mei Mosi 🤝🔥
Kwa usafirishaji wa mizigo, clearing & forwarding, tupo tayari kukuhudumia kwa uharaka na uaminifu.

📞 Wasiliana nasi leo 0783832627

29/04/2026

🚢⚡ Bandari sio sehemu ya kuchelewa!
Manager wetu Zaid Ramadhan Zuberi anaelezea jinsi tunavyohakikisha mizigo yako inatoka bandarini kwa uharaka na kusafirishwa kwa bei nafuu bila usumbufu.

✅ Clearing & Forwarding
✅ Utoaji wa mizigo bandarini
✅ Usafirishaji wa haraka na salama
✅ Bei rafiki kwa mteja

📞 Wasiliana nasi leo, tusogeze mzigo wako mapema!

🚢✈️🚛 IJUMAA NJEMA!Safari za mizigo zisiwekewe bahati—ziwekwe kwa uhakika.Karibu RUJEWA ACROSS INVESTMENT COMPANY LTD kwa...
24/04/2026

🚢✈️🚛 IJUMAA NJEMA!
Safari za mizigo zisiwekewe bahati—ziwekwe kwa uhakika.
Karibu RUJEWA ACROSS INVESTMENT COMPANY LTD kwa huduma za usafirishaji wa mizigo aina zote kwa uaminifu, kasi na usalama.

📦 Tunabeba mzigo wako k**a ni wetu.
🌍 Local & International Shipping
✅ Fast | Safe | Reliable
📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi.

22/04/2026

📌 K**a unahitaji mshirika wa uhakika kwenye import/export, hii video ni lazima uitazame mpaka mwisho.

Kwa sisi, kila mzigo ni dhamana.
Kila document ni responsibility.
Na kila delivery ni jina la kampuni. 💼📦

Tunafanya kazi kwa:
✅ Uaminifu na uwazi
✅ Kasi na usalama wa mizigo
✅ Ufuatiliaji wa hatua kwa hatua
✅ Huduma za kitaalamu kuanzia bandarini hadi mwisho

Address

Kariakoo, Lumumba Street, Dar Es Salaam, Tanzania
Dar Es Salaam
51111

Opening Hours

Monday 08:00 - 12:00
Tuesday 08:00 - 12:00
Wednesday 08:00 - 12:00
Thursday 08:00 - 12:00
Friday 08:00 - 12:00
Saturday 08:00 - 12:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rujewa Acros Investment CO.LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share