Team shabiby line

Team shabiby line Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Team shabiby line, Transportation Service, Makole dodoma, Dar es Salaam.

Habari mpendwa,karibu shabiby bus unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia www.shabiby.co.tz au mawasiliano ya ofisi zetu yanayopatikana kwenye Bio yetu,Pia karibu sana kutuma parcel,Mizigo midogo

Parade ya Heshimaa
15/06/2025

Parade ya Heshimaa

Msafara wa D14 katika kutimiza "LIVE ROYAL TRAVEL ROYAL"
15/06/2025

Msafara wa D14 katika kutimiza "LIVE ROYAL TRAVEL ROYAL"

15/09/2024

Kwa niaba ya wafanyakazi wote wa kampuni ya tunapenda kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Mkurugenzi wa kampuni yetu Mh.Ahmed Mabkhut Shabiby kwa kuongeza umri mwingine maishani mwake,Na mwenyezi Mungu aendelee kumbariki na kumjalia afya njema zaidi.

HAPPY BIRTHDAY BOSS..!๐ŸŽ‚๐Ÿฅ‚

LIVE ROYAL ๐ŸŒ TRAVEL ROYAL

21/07/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Raider Sniper, Chilongola Newton Gracewell

ROYALTY CARING ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
22/06/2024

ROYALTY CARING ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

ARUSHA-DAR-ARUSHA TUMEKUFIKIA..!โ€ผ๏ธ๐Ÿšจ

Baada ya kusoma maoni na ushauri wa abiria wetu wapendwa,sasa ni rasmi kuanzia Tarehe 23/06/2024 tutakua na safari za kutoka Dar es salaam kuelekea Arusha na kutoka Arusha kuelekea Dar es salaam Kwa Tsh 50,000/= Tu,karibuni sana๐Ÿ˜

kata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu www.shabiby.co.tz (Link inapatikana kwenye Bio yetu)

Pia unaweza kukata tiketi ya safari yako pasipo kuhusisha matumizi ya data au tovuti bali kupitia SMS tu,tuma neno โ€œshabibyโ€ au โ€œtiketiโ€ kwenda namba 0766 626 666.

LIVE ROYAL ๐ŸŒ TRAVEL ROYAL

21/06/2024

Hatimae SHABIBY LINE ndani ya KASKAZINI FRM DSM
NI Dar es salaam kuelekea kule mkoani ARUSHA route ipo active wahi sasa ujipatie tiketi yako
Dar arusha๐Ÿ”ƒ
Dar Geita๐Ÿ”ƒ
Dom songea๐Ÿ”ƒ
Dom Tarakea๐Ÿ”ƒ
Karibuni saan ndayi ya ulimwengu wa AZAM TV safarini mambo ya ๐Ÿ”ฅโœ…

EGM SERIES Safiri na shabiby line na ufurahie safari yako ,hakika utafaidika kwa mengi k**a vile Vinywaji biscuits p**i ...
21/06/2024

EGM SERIES
Safiri na shabiby line na ufurahie safari yako ,hakika utafaidika kwa mengi k**a vile
Vinywaji biscuits p**i huduma ya mtandao(WiFi), system charge,huduma ya maliwato (VIP),na nyingne nyingi ila kubwa kuliko ni mambo ya AZAM TV ndani ya SHABIBY LINE hakika utafurahia safari yako karibuni sana msafiri nasi
Www.shabiby.co.tz
Carrying your journey is our value ๐Ÿ’ซ๐Ÿ™

Welcome welcome SHABIBY LINE kwa usafiri wa uwakika na haraka karibu ujipatie tiketi yako kwa kufika ofisi zetu zilizo k...
21/06/2024

Welcome welcome SHABIBY LINE
kwa usafiri wa uwakika na haraka karibu ujipatie tiketi yako kwa kufika ofisi zetu zilizo karbu nawe au tembelea website www.shabiby.co.tz kwenda au kutoka mikoa mbali mbali inchini tz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
SHABIBY LINE
*LIVE ROYAL& TRAVEL ROYALTY

14/02/2024

.shabiby.co.tz
Lets Go with it๐Ÿ‘‡

Evening time with SHABIBYLINE ni mwezi wakuonyesha upendo kwa unao wapenda nasi shabiby line tunakukaribishaa usafiri na...
04/02/2024

Evening time with SHABIBYLINE ni mwezi wakuonyesha upendo kwa unao wapenda nasi shabiby line tunakukaribishaa usafiri nasi katika mikoa mbali mbali wahi sas ufanye booking at www.shabiby.co.tz au fika ofisi iliyo karibuu nawe
CARE UR LOVE โค๏ธ

Asante kwa kuchagua shabiby line kuwa chombo chako cha usafiri kwa mwka 2023/2024 tegemea mengi mazuri katika mwaka huu ...
07/01/2024

Asante kwa kuchagua shabiby line kuwa chombo chako cha usafiri kwa mwka 2023/2024 tegemea mengi mazuri katika mwaka huu
Www.shabiby.co.tz

Kheri yasikukuu ya maulid kwa Abiria wetuu& team work nzima na wengine woote  Pamoja Tunaweza.Visit us .shabiby.co.tzCon...
28/09/2023

Kheri yasikukuu ya maulid kwa Abiria wetuu& team work nzima na wengine woote Pamoja Tunaweza.
Visit us .shabiby.co.tz
Contact us ;0654777773
๐Ÿ‡ฑโ€‹๐Ÿ‡ฎโ€‹๐Ÿ‡ปโ€‹๐Ÿ‡ชโ€‹ ๐Ÿ‡ทโ€‹๐Ÿ‡ดโ€‹๐Ÿ‡พโ€‹๐Ÿ‡ฆโ€‹๐Ÿ‡ฑโ€‹&๐Ÿ‡นโ€‹๐Ÿ‡ทโ€‹๐Ÿ‡ฆโ€‹๐Ÿ‡ปโ€‹๐Ÿ‡ชโ€‹๐Ÿ‡ฑโ€‹ ๐Ÿ‡ทโ€‹๐Ÿ‡ดโ€‹๐Ÿ‡พโ€‹๐Ÿ‡ฆโ€‹๐Ÿ‡ฑ

Address

Makole Dodoma
Dar Es Salaam
HABARIMPENDWA,KARIBUSHABIBYBUSUNAWEZAKUKATATIKETIYASAFARIYAKOKUPITIAWWW.SHABIBY.

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Team shabiby line posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Team shabiby line:

Share