Mandela man finder

Mandela man finder MANDELA MAN FINDER FT SNASHER_MIZZO-MY LOVE

Hulkshare - Music Distribution Platform

hulkshare.com

πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ™…
24/06/2020

πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ™…

14/05/2019
07/05/2017

K**A WEWE NDIO BABA AU MAMA WA NYUMBA HII UTAMFANYA NINI HOUSE BOY?
Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.

Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika. Ilikua ni bahati tu alimvizia na kumbamba Bakari akichakachua wine, kwa kuwa mkewe alikua anamtetea Bakari, ili kumthibitishia mkewe kuwa Bakari ndo culprit,

boss alianza kwa kumuuliza Bakari maswali.

Siku hiyo Bakari alikua jikoni,boss na mkewe walikua sebuleni.

Boss:- Bakariiii!
Bakari:- Naam baba!
Boss:- Nani anakunywa wine yangu?

Bakari:- Kimyaaaa hajibu kitu!πŸ™ŠπŸ‘‚πŸΎ
Boss:- Bakariiiii !πŸ˜–
Bakari:- naam baba! Boss:- nauliza nani anakunywa wine yangu halafu anajazia majiii!😑
Bakari:- kimyaaaaa!πŸ€—

Boss akaamua amfuate hukohuko jikoni.

Boss: Kwanini nikikuita unaitikia, nikikuuliza unanyamaza?😠
Bakari: Baba huku jikoni ndo kulivyo, unasikia jina tu likiitwa lakini maneno menginehusikii, na k**a huamini baki jikoni mi niende sebuleni.πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‡πŸ˜œ

Bakari akaenda sebuleni akaanza kuita.

Bakari:Babaa!πŸ€“
Boss: Naam Bakari!😜
Bakari: Saa sita usiku huwa unaenda kufanya nini chumba cha house girl?πŸ˜‚πŸ˜‡
Boss:- kimyaaaa!πŸ™‰
Bakari:- Baba babaa!😎
Boss:- Ndio Bakari!😌
Bakari:- Nauliza hivii, chumbani kwa house girl saa sita za usiku huwa wafuata nini?πŸ˜œπŸ˜‚

Boss:- kimyaaaaaaa!

Akatoka nje: Bakari huku jikoni ni kweli husikii kitu zaidi ya jina!.😊😫

Mama akasema msinizingue nyie...Mbona siwael πŸ˜«πŸ˜–πŸ˜£

Bakari: mama k**a uamini na ww nenda uone.😨

Mama akaenda jikoni..
Bakari: akaita mamaa
Mama : bee bakari
Bakari: eti hiyo mimba niya baba a: yangu.?πŸ™„πŸ€”πŸ€
Mama kimya

Bakari; mama nakauliza tena hiyo mimba niyababa au yangu.πŸ™ˆπŸ™‰πŸ˜·

Mama akatoka aisee kweli humu unasikia jina tu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™„πŸ΅πŸ™ˆπŸ™Š

04/05/2017

βœπŸ½πŸ€‘πŸ˜œπŸ˜ŽπŸ˜„πŸ˜πŸ˜‚πŸ‘„πŸ‘…πŸ—£πŸ˜’πŸ‘‚πŸΎπŸ™ŠπŸ˜…πŸ˜ πŸ˜–πŸ˜ͺπŸ˜‡πŸ€£πŸŽ€πŸ΅

πŸ‘„Kidogo Cha Halali Ni Bora Kuliko Kingi Cha Haram.✌🏾

****Na****

πŸ‘„Ujinga Usio Na Hasara Nibora Kuliko Elimu Isio Na Faida😜

*******Pia*******

😎Njaa Isiyoua Ni Bora Kuliko Shibe Ya Masimango✌🏾

*******Tena*******

πŸ€‘Kidogo Cha Mkononi Ni Bora Kuliko Kikubwa Cha AhadiπŸ‘‚πŸΎ

******Elewa******

πŸ˜‡Anayekukosoa Ni Bora Kuliko AnayekusengenyaπŸ‘€

*******Tena*******

πŸ˜‚Bora Kuacha Kuliko KuachikaπŸ‘…

******Pengine*****

πŸ™πŸΎNibora Umasikini Kuliko Utajiri Wa Hofu Na Mawazo.πŸ˜‡

*😍😘USIKU MWEMA WAPENDWAAπŸ’–πŸ’*

πŸ€—πŸ€“βœŒπŸΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

27/04/2017

Mume Na Mke Wakiwa Safarini Na Gari Lao 🚘Ghafla Wakaanza Kugombana Ugomvi Ulipo Zidi Mume Akapandwa Na HasiraπŸ˜–πŸ˜‘πŸ˜  Akasema

πŸ—£ πŸ‘‚πŸΎWANAWAKE WOTE NI MBWA TU!πŸ™ŠπŸ™Š

πŸ‘±πŸΎβ€β™€ 😒Mke Akanyamaza Wakati Wakiendelea Na Safari Wakamwona MbwaπŸ• Anatembea Kando Ya Barabara Mke Akasema πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜œ
😎
πŸ‘„MAMA YAKO YULE ANATEMBEA KWA MGUU SIJUI ANAENDA WAP πŸ‘…πŸ˜πŸ˜„EBU SIMAMA TUMPE LIFT!''πŸ˜πŸ˜œπŸ˜‚

Unajua Ni Nini Kilifuata Hebu 2ma Vocha Inbox Nikumalizie Story!! πŸ€‘πŸ€‘πŸ˜œπŸ˜ŽβœŒπŸΎπŸ€³πŸΎ

20/04/2017

*KIVULI BHANA*
*Yaani mimi nipo kwenye kibanda nanunua MCHICHA lakini chenyewe kimesimama BUCHANI*

Sijui kimetoa wapi hela.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

12/04/2017

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mandela man finder posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share