25/07/2026
Karanga (groundnuts) ni nafaka yenye matumizi mengi na faida kedekede kwa mtumiaji na muuzaji wake.
Karanga ni kiburudisho (snack), karanga husagwa na unga wake kuungwa katika mboga (stew flavoring), hutengeneza siagi (butter) kwa ajili ya afya ya watoto na watu wazima, hukamuliwa mafuta yenye ubora (grade) ya juu kabisa.
KITEI MACHINERY tumebobea katika kukupa uhakika wa kuiandaa nafaka hii toka kubangua shambani, hadi kukamua mafuta. Wasiliana nasi sasa unufaike.