All Tanzania buses

All Tanzania buses 🌍 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮'𝘀 𝗨𝗹𝘁𝗶𝗺𝗮𝘁𝗲 𝗕𝘂𝘀 𝗚𝘂𝗶𝗱𝗲,
📸 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝘀, 𝗧𝗶𝗽𝘀 & 𝗨𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲𝘀
📩 𝗗𝗠 𝗙𝗢𝗥 𝗕𝗨𝗦𝗜𝗡𝗘𝗦𝗦, 𝗔𝗗𝗩𝗘𝗥𝗧 & 𝗣𝗥𝗢𝗠𝗢
🌟
🚍 𝗦𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜 𝗡𝗜 𝗙𝗨𝗥𝗔𝗛𝗔 😀
🇹🇿 𝙀𝙭𝙥𝙡𝙤𝙧𝙞𝙣𝙜 𝙏𝙖𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞𝙖🇹🇿

Hawa ndio KAIZIREGE AND KEMEBOS BUS SERVICESKIZAZI CHA MARCOPOLO G7HUYU Mwamba yuko vyema aisee .haya twende bukoba kuto...
07/06/2026

Hawa ndio KAIZIREGE AND KEMEBOS BUS SERVICES
KIZAZI CHA MARCOPOLO G7

HUYU Mwamba yuko vyema aisee .haya twende bukoba kutokea dar na KAIZIREGE Kata tiketi yako mapema mtandaon
Www.kaiziregekemebos.co.tz

𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

Umetambua stendi hii ya mabasi___________________________________________𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆  Wataalamu wa vyoo vya kisasa visivy...
07/06/2026

Umetambua stendi hii ya mabasi

___________________________________________
𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆

Wataalamu wa vyoo vya kisasa visivyojaa, mifumo ya majisafi & majitaka, na ukarabati wa vyoo vya zamani.
Kwa nyumba biashara na taasisi
​📍 Kinyerezi Plaza
📞 0678 895 319 | 🌐 EliteWastes.com
------------------------------------------------------------------------
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

Tuliuliza swali jana kua mkoa gani utafaa kua jiji hapo badae ..Kwanza kabisa Licha ya kuwa Mbeya ni jiji tayari wengi m...
07/06/2026

Tuliuliza swali jana kua mkoa gani utafaa kua jiji hapo badae ..
Kwanza kabisa Licha ya kuwa Mbeya ni jiji tayari wengi mlibeza

JE kwanini wengi mlisema Mbeya haikufaa kua jiji??

____________________________________________________________________
𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆

Wataalamu wa vyoo vya kisasa visivyojaa, mifumo ya majisafi & majitaka, na ukarabati wa vyoo vya zamani.
Kwa nyumba biashara na taasisi
​📍 Kinyerezi Plaza
📞 0678 895 319 | 🌐 EliteWastes.com
------------------------------------------------------------------------
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

06/06/2026

Taarifa fupi ya tukio la ajali 06/06/2026 .
Kulingana na Shuhuda eneo la tukio linaitwa KIHANGAIKO .
Ajali ilihusisha bus kampuni ya Sharifa Trans inayofanya safari zake bagamoyo dodoma , pamoja na lori . Ingawa bus hili la Leo halikua katika Ruti yake ya kila siku .

Shuhuda Anasema
''Gari hii aina ya tata ilikuwa inatokea Tanga na hiyo roli ilikuwa inatokea njia ya msata roli ilitanua ilipotanua ilikutana na tata ile tata inatafta balance ili impishe zisikune uso kwa uso ikajikuta imeingia kwenye hiyo shida''

Kuna majeruhi katika ajali hii ,kuhusu vifo na taarifa kamilifu tunasubir jeshi la polisi na usalama barabarani pia vyombo vya habari ili kupata taarifa kamili ..

Tunatoa pole kwa wahusika wote mungu AWAPE nguvu na afya ..itakapotoka taarifa Tutatoa pia MREJESHO wa ajali hii

𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

Mama huyu Pichani ndio mmiliki wa kampuni ya mapenzi ya Mungu inayofanya safari zake ARUSHA IFAKARAARUSHA DAR ES SALAAMK...
06/06/2026

Mama huyu Pichani ndio mmiliki wa kampuni ya mapenzi ya Mungu inayofanya safari zake
ARUSHA IFAKARA
ARUSHA DAR ES SALAAM

Kampuni gani nyingine inayomilikiwa na '' mama '' jinsia ya k**e kwa ujumla

📸

___________________________________________
𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆

Wataalamu wa vyoo vya kisasa visivyojaa, mifumo ya majisafi & majitaka, na ukarabati wa vyoo vya zamani.
Kwa nyumba biashara na taasisi
​📍 Kinyerezi Plaza
📞 0678 895 319 | 🌐 EliteWastes.com
------------------------------------------------------------------------
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

Dar es salaam Tanga Arusha Mwanza Dodoma Mbeya Mkoa gani mwingine utafaa hapo badae kuwa jiji ??Dodondosha comment yako ...
06/06/2026

Dar es salaam
Tanga
Arusha
Mwanza
Dodoma
Mbeya

Mkoa gani mwingine utafaa hapo badae kuwa jiji ??

Dodondosha comment yako hapa

___________________________________________
𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆

Wataalamu wa vyoo vya kisasa visivyojaa, mifumo ya majisafi & majitaka, na ukarabati wa vyoo vya zamani.
Kwa nyumba biashara na taasisi
​📍 Kinyerezi Plaza
📞 0678 895 319 | 🌐 EliteWastes.com
------------------------------------------------------------------------
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

Bright line    ¦¦    Asia star busUmewahi kusafiri nayo Ruti gani ?___________________________________________𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆...
05/06/2026

Bright line ¦¦ Asia star bus
Umewahi kusafiri nayo Ruti gani ?

___________________________________________
𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆

Wataalamu wa vyoo vya kisasa visivyojaa, mifumo ya majisafi & majitaka, na ukarabati wa vyoo vya zamani.
Kwa nyumba biashara na taasisi
​📍 Kinyerezi Plaza
📞 0678 895 319 | 🌐 EliteWastes.com
------------------------------------------------------------------------
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

05/06/2026

Team yutong na team higer mpooooo 🙌 🙌 🙌 🙌

____________________________________________________________________
𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆

Wataalamu wa vyoo vya kisasa visivyojaa, mifumo ya majisafi & majitaka, na ukarabati wa vyoo vya zamani.
Kwa nyumba biashara na taasisi
​📍 Kinyerezi Plaza
📞 0678 895 319 | 🌐 EliteWastes.com
------------------------------------------------------------------------
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

05/06/2026

Shigaka luxury
Vibe limeoga TAA k**a radi

____________________________________________________________________
𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗯𝘆

Wataalamu wa vyoo vya kisasa visivyojaa, mifumo ya majisafi & majitaka, na ukarabati wa vyoo vya zamani.
Kwa nyumba biashara na taasisi
​📍 Kinyerezi Plaza
📞 0678 895 319 | 🌐 EliteWastes.com
------------------------------------------------------------------------
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when All Tanzania buses posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to All Tanzania buses:

Share