NEEMA ZA MUNGU Express

NEEMA ZA MUNGU Express NEEMA ZA MUNGU express
NI KAMPUNI YENYE MAGAR YA MIZIGO NA ABIRIA
HUFANYA BIASHARA ZAKE KUTOKA NGARE

"Kwa huduma bora na za uhakika"Tutembelee pia Instagram  Waraka wa Amani^
28/04/2018

"Kwa huduma bora na za uhakika"

Tutembelee pia Instagram

Waraka wa Amani^

01/04/2018

Neema za Mungu Inakutakia Heri na Fanaka Katika Sikukuu hii ya Pasaka.

Herini ya Pasaka Yesu Kristo Amefufuka Kweli Kweli Haleleya.

Kwa usafiri wa mizigo kwenda Mikoani na Hata Nchi jirani (Kenya).KUMBUKA; Kwa wenye kujaza tuu gari.
15/08/2017

Kwa usafiri wa mizigo kwenda Mikoani na Hata Nchi jirani (Kenya).

KUMBUKA; Kwa wenye kujaza tuu gari.

18/06/2017

Mkurugenzi wa NEEMA ZA MUNGU anapenda kuwakaribisha wote siku ya leo (Jumapili 18/06/2017) kwenye shere ya Kumshukuru Mungu, ambayo itatanguliwa na Ibada itakayofanyika KKKT Mtaa wa Emmanuel na badae kujumuika naye katika tafrija fupi itakayofanyika nyumbani kwake Kwa-Lock. Karibuni sana tufurahi pamoja baada ya yale yaliyotupata miezi kadhaa iliyopita.

Kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena Milele. -->> kutoka 14:13b

Karibuni sana.

NB: Tunaomba samahani kwa kutokuwa hewani kwa muda hivyo kuchelewa kutoa taarifa.

Imetolewa na
Daniel Mungure kwa niaba ya mkurugenzi Aminiel Mungure (Malimwengu)

Baada ya changamoto mbalimbali zilizotukabili hapo nyuma tunashukuru sana abiria wetu kwa uvumilivu mliokuwa nao kwetu n...
03/05/2017

Baada ya changamoto mbalimbali zilizotukabili hapo nyuma tunashukuru sana abiria wetu kwa uvumilivu mliokuwa nao kwetu na hata wengine kututafuta kujua tunaendeleaje. Hakika tumetambua thamani yenu na mchango wenu kwetu tumefarijika sana. Kwa lolote usisite kuwasiliana nasi tupo kwa ajili ya kuwapa huduma bora.

Pia tunatoa pole zetu za dhati kabisa kwa wale wote waliokumbwa na ajali ile, cha zaidi tunatanguliza shukrani zetu kwa Mungu kuwa wote ni wazima na afya zimeimarika.

Tumerejea sasa wiki imepita, tunawahidi kuzidi kuendelea kuwapa huduma bora kabisa na kuendelea kuwajali abiria wetu. Kwa safari za kila siku Arusha-Ngarenanyuki-Kisimiri high school. Karibu sana.

Kwa wale wenye mizigo yenye uwezo wa kujaza Fuso pia tunasafirisha kwenda mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Kilimanjaro, Manyara, Iringa na Mombasa (Kenya) njoo tutakusafirishia mzigo wako kwa uwaminifu mkubwa kabisa. Tunajali na kuwathamini kabisa.

HUDUMA BORA NA ZA VIWANGO NDIO FAHARI YETU KWAKO MTEJA WETU.

Kwa niaba ya Director
Aminiel Mungure

Imetolewa na
Daniel Mungure.

Kwa wale wanaotaka kusafirisha mizigo inayojaza fuso tunasafarisha pia  hasa Kwa safari za Arusha Mombasa, Mombasa Dar e...
26/09/2016

Kwa wale wanaotaka kusafirisha mizigo inayojaza fuso tunasafarisha pia hasa Kwa safari za Arusha Mombasa, Mombasa Dar es salaam, Dar es salaam Moshi na Arusha.

Tunajali usalama wa mizigo yenu Kwa kiwango bora kabisa.

Karibu tuwasiliane
+255757903982

17/07/2016

Kwa niaba ya menejimenti nzima ya NEEMA ZA MUNGU express tunapenda kutoa pongezi zetu za dhati kwa shule ya KISIMIRI kwa kuweza kushika nafasi ya kwanza kwenye mtihani wao wa kidato cha sita. Ni changamoto nyingi mlikutano nazo hasa vumbi, upepo mkali, Baridi na hata barabara lakini vyote mliweza kuvumilia kwa sababu mlitambua kilichowapeka.

Tunawatakia kila la kheri muendapo vyuoni mzidi kufanikiwa.

Pia tutoe shukrani zetu kwenu kwa kutuamini na kutuchagua sisi NEEMA ZA MUNGU express kuwa usafiri wenu namba moja wa kila siku. Tutazidi kutoa huduma kwa waliopo na watakaokuja kwa uhaminifu mkubwa zaidi.

Kila baada ya hatua moja kumbuka kumshukuru Mungu

Kwa Niaba ya Mzee Malimwengu

Daniel Mungure
(Page Director)

01/07/2016

Tutakuwa watu wa ajabu tusipoweza kutoa shukrani zetu za dhati kwa kuendelea kutuamini na kutumia usafiri wetu. Asanteni sana na karibuni

0719432000
0769015262
Tuwasiliane

28/01/2016

Tunapenda kuwashukuru kwa kuzidi kuwa na Imani na sisi hasa pale tunapoimarisha Utendaji kazi kwa kufanya mabadiliko ya hapa na pale yote ni hili kuhakikisha kwamba unapata huduma bora na uhakika. Na kuimarisha upendo wetu kwenu.

Tupo pamoja na
Asanteni kwa kutuchagua

MUNGURE`s Family (Malimwengu)

14/11/2015

Tunajali ,, Tunathamini Tunawapenda... huduma bora kabisa.. karibu
Tunawatakia siku njema...

Address

Arusha
791USARIVER

Telephone

0757903982

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NEEMA ZA MUNGU Express posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NEEMA ZA MUNGU Express:

Share