Tuzungumze kuhusu dini na maendeleo ya dini.......Page isitumike kuwagawa watu bali kuwaunganisha kw
25/01/2018
Sehemu ya waumini wa masjid daarul hikma wakisali sala ya eid elfitr juu ya floo ambayo haina kuta.
Hii ni kuonyesha kwamba mssikiti huu bado haujakidhi mahitaji ya waumini wa Eneo la ndarivoi na viunga vyake
Wewe kama muislaam umechangia kwa kiasi gani ujenzi wa nyumba hii ya allah.
Ndani ya msikiti huu pia kuna idadi kubwa ya wanafunzi wanaosoma madrasa ndani ya msikiti huu. Jambo ambalo ni hatari kwa ibada za wengine kulingana na age ya watoto wanosoma hapo. Wengine ni wadogo sana kwahiyo tunahitaji kuwa na mdrasa kwa ajili ya vijana wetu hawa.
Wanafunzi wako zaidi ya mia mbili na wana changamoto zao mbali mbali.......... Jipime sasa na uone bado una nafasi ya kuendeleza dini kwa kila fursa uliyopewa na الله
25/01/2018
24/01/2018
Markaz daarul hikma ni kwaajili ya kupata habari mbali mbali zinazohusu dini.
haswa kwa waumini wa masjid daarul hikma........njoo tujadili na tushauriane nk namna gani dini inavyokuhitaji wewe na nguvu zako na mali zako.....
Be the first to know and let us send you an email when مركز دار الحكمة posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.