19/04/2024
Karibu sana@nimimotors
“HATUA ZA KUAGIZA GARI LAKO”
1. PLACE ODER
hatua hii inahusisha aina ya gari unalolihitaji kuagiza .utambuzi huu
hufahamika kwa kutaja jina la gari, mwaka, aina ya gari, na rangi unayopendelea
2. SELECTION
Katika hatua hii wataalam kutoka watakupa ushauri
kutokana na gari ulilochagua na hali yake kiujumla, pia itahusisha
kutambua gharama zote za gari lako hadi kukufikia mkononi
3.1st PAYMENT
Hatua inayofata ni kufanya malipo ya awamu ya kwanza kwa ajili ya kuagiza gari lako. Malipo ya kwanza huwa ni asilimia 70% ya gharama zote za ghari Malipo hayo huambatanishwa na MKATABA na RECIEPT inayo onesha jumla ya gharama, kiasi kilicholipwa na pia kiasi kilichobaki (30%)
4. SHIPPING
Baada ya malipo ya kwanza gari lako litaanza kusafirishwa kutoka nchi lilipo hadi kufikia bandari ya karibu na wewe mteja wetu dar es salaam ,mombasa (ports)
5.2nd PAYMENT
Malipo awamu ya pili hufanyika baada ya safari ya gari kuja bandari ya karibu nawe.malipo haya hufanyika kabla ya gari KUFIKA kutuwezesha kulipa KODI, PORT AND CLEARING CHARGES na pia INSPECTION FEES ambazo ni muhimu na kuepuka Gari lako kukaa bandarini muda mrefu na kukwepa ADHABU(tozo za ziada)
6. REGISTRATION
Hatua hii inahusisha usajili wa gari kwa MMILIKI halali na
kumuwezesha kupata KADI ya gari lake pamoja na NUMBER PLATES
7.SERVICE
Huusisha ukaguzi wa gari, maboresho na pia usafi wa gari lako
8. DELIVERY
HatUa ya mwisho ambayo MTEJA anakabidhiwa gari lake na zawadi mbalimbali kutoka k**a FREE DELIVERY & ,FULL TANK