Grow & Earn online

Grow & Earn online Let's grow together$€¥

29/04/2026

https://www.youtube.com/watch?v=egeeiqzjx8A
Still confused about how to file your KRA returns? 😅
Don’t worry—this simple step-by-step guide shows you exactly how to file your KRA returns online using iTax (even if you’re a beginner).
✅ File Nil Returns easily
✅ Avoid penalties
✅ Works for students, employed & self-employed
Watch now and get it done in minutes 👇

22/10/2025

A Hearty Tribute to Rt. Hon. Raila Amolo Odinga

Today, Kenya mourns not just a man, but a movement. Raila Odinga’s life was a journey of courage, resilience, and unyielding hope for a better nation. He stood tall through storms, carried the dreams of millions, and gave voice to those often unheard.

Whether one agreed or disagreed with his politics, we all felt his presence — a man who refused to be silent in the face of injustice. His sacrifices, his words, and his spirit will echo for generations.

Rest well, Baba. You ran your race with grace, fought your battles with honour, and left a mark no time can erase.



’o

19/07/2025
19/07/2025

Funny video

17/07/2025

Men, listen.

Stop expecting applause for doing what’s already your responsibility. Paying household bills, providing for your family, and keeping things in order isn’t an achievement—it’s the bare minimum.

And women, don’t let anyone make you feel like you owe them a lifetime of submission just because they pay bills. A real man doesn’t boast about taking care of his home. He understands it’s his role and he does it quietly, with dignity.

True leadership doesn’t need validation. Responsibility doesn’t need a round of applause.

Act. Provide. Protect. But don’t boast. It’s not charity—it’s your duty. ✅

16/07/2025

Wapendwa wanawake, hebu tuzungumze.

Hapa kuna mafundisho kuhusu wanaume ambayo kila mwanamke anatakiwa ajue mapema:

1. Heshima ina maana kubwa zaidi kwa mwanaume kuliko mapenzi. Mwanaume anaweza kubaki na mwanamke ambaye hampendi sana ikiwa anamuheshimu, lakini ataondoka kwa mwanamke anayempenda ikiwa kila mara anamkosea heshima.

2. Wanaume hawawezi kuzungumzia maumivu yao kwa urahisi. Akinyamaza, haimaanishi yuko sawa. Mara nyingi hajui jinsi ya kuelezea changamoto zake kwa maneno.

3. Matendo ya mwanaume yatakuambia zaidi kuliko maneno yake. Acha kuchambua sana jumbe zake. Angalia anachofanya mara kwa mara.

4. Wanaume wanatamani amani nyumbani. Upendo wake unakua zaidi mahali anapojisikia salama, si mahali anaposhambuliwa au kudharauliwa.

5. Si kila mwanaume anataka kukuumiza. Usimletee mwanaume anayekupenda maumivu ya zamani. Pona kwanza.

6. Ego yake siyo adui yako. Ukijua jinsi ya kumtia moyo, utamuona akibadilika na kuwa bora zaidi.

7. Wanaume ni rahisi, lakini hiyo urahisi wao mara nyingi haieleweki. Wengi hawahitaji mambo mengi—wanataka tu heshima, shukrani, uaminifu na amani.

Ukijua haya, utaacha kupigana vita visivyo na maana.

16/07/2025

Wanaume ni viumbe wa ajabu ukielewa jinsi akili zao zinavyofanya kazi. 🧠 Hizi hapa ni mambo za kisaikolojia kuhusu wanaume ambazo huenda hukuwahi kujua:

1️⃣ Wanaume huwa tayari kuchukua hatari kubwa zaidi wanapojua kuna mtu anawaangalia – ni njia ya ubongo wao kuthibitisha uwezo.
2️⃣ Wanaachilia oxytocin (homoni ya bonding) kidogo kuliko wanawake, lakini ikitokea, huamsha hisia kali za ulinzi.
3️⃣ Ubongo wa mwanaume umeundwa kushughulikia jambo moja kwa wakati – kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja huwapa msongo zaidi.
4️⃣ Viwango vyao vya stress hupungua sana wanapokuwa kimya au wakifanya “hakuna kitu.”
5️⃣ Sifa kutoka kwa mwanamke hubaki kwenye kumbukumbu yao muda mrefu zaidi kuliko maneno ya kukatishwa tamaa kutoka kwa wanaume wenzao.
6️⃣ Kiwango cha testosterone huongezeka sana mwanaume anaposhinda – hata ushindi mdogo k**a kumaliza mazoezi au kutatua tatizo nyumbani.
7️⃣ Wanaume ni wanafunzi wa kuona zaidi. Ndiyo maana wanapenda picha, michoro na video kuliko maandishi marefu.
8️⃣ Baada ya kuumia moyo, wanaume huchukua muda mrefu kupona kihisia kwa sababu huwa hawatafuti msaada mara moja.
9️⃣ Ubongo wa mwanaume ni mkubwa kwa 10% – sio kwa sababu ya akili zaidi, bali uwiano wa ukubwa wa mwili.
🔟 Kujiamini kwa mwanaume huongezeka sana anapohisi kuheshimiwa, hata zaidi ya anapohisi kupendwa.

Wanaume sio wagumu… ni tofauti tu. Ukielewa wiring yao, utaelewa mwanaume.

03/07/2025

Wanaume, wacha wakuite mchoyo. Ni sawa.
Usipoteze jasho lako la tabu ukijaribu kuwaridhisha au kuwafurahisha watu ambao kesho hawatakumbuka hata sadaka zako.

Kipaumbele chako kiwe kujenga maisha yako, kulinda amani yako, na kuwajali wale wanaokujali kweli. Dunia itakuwa na maoni kila wakati, lakini haitakulipia bili zako wala kushiriki katika mapambano yako.

Kaza mwendo. Linda jasho lako. Linda nguvu zako.

Wanaume, wacha wakuiteni mchoyo. So what?Usipoteze jasho lako kuwaridhisha watu wasiojitokeza ukiporomoka.Linda mfuko wa...
03/07/2025

Wanaume, wacha wakuiteni mchoyo. So what?
Usipoteze jasho lako kuwaridhisha watu wasiojitokeza ukiporomoka.

Linda mfuko wako. Linda amani yako. Jenga kwa ajili ya wale wanaokujali kweli.

Address

Nairobi

Telephone

+254707151473

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Grow & Earn online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share