14/10/2025
LEGENDARY VERSE ALERT βΌοΈ
βVile mi hufanya juu ya handas matire
Ma-newcomer wapewe pampers wapime
Ambia Nyash tumemwaminia basi
Lakini tukishampoteza hakuna comeback ingine
Na ukome na hizi, kwanza catch up na zile,
Ndio uroge ka mimi, labda mkamba akuazime
Kifua ujipige, we ni master wa kuchocha
Tunakujua, we ni mwere, we si gangster ya kutosha
Na ikibidi tunakuleta juu
Leo ka jana ndio i-feelingi ni ka ni deja vu
Geuka mbang'a, mbona unaniuliza maswali?
Unatekwa nyara, unabaki mteja hapatikani
Kutapikwa, iwe gas stove ama kuni
Lakini wako njaa, plus choo hawakunyi
So ka unajiona bad bas njoo kwa wahuni
Penye mbaya mbaya, ngori tunazi-solve kwa mangumi
Na ka unangoja chorus, ndio hii
Nimeji-set bila compass kwa street
Look ni fresh, Converse na jeans
Watu-play wasitu-play, hatuko concerned na s**t
Juu sifuati habari, mi ni nugu wa news
Ndio ufike hii hali, ndugu, kwanza nunua views
Ay, niliamini kwamba Mungu huwa juu
Juu nilisonga ijapokuwa nilifungwa miguu, check
Be careful who you beef with
I was only nine when I was caught shoplifting
I had to check all my neighbors to stop snitching
Now I'm giving back to the neighbors and that's real s**t
Mama told me I'm a pain in the neck
But that changed when I started paying the rent
My dad changed, he started playing my tracks
But I never changed 'cause you see, the plan was to rap
Now we kicking it with the finest
So wakibonga mi sihusiki, mi nakaa nje
Na ma-celebrity Kenya huwa msiba
Wameshindwa kupea Vera na Huddah mimba
Maisha ya kuiba
Tryna get to me but busy nikiandika
See, I'm tryna be a leader, got goons for no reason
Me, I never leave them
Ndio maana naezanga kujishasha kila region
Heh, check
So what the f**k's ni**as talking about?
Started this s**t, now these ni**as walking around
Tryna beef me? Naeza weka g***k in your mouth
Kwanza free me, 'cause the media's locking me out
Kwa sasa wanani-misuse
Na nikikufa kesho najua nita-increase views
Kwa ma-post watadai, "He was a nice dude